TAZARA WALIPWA MISHAHARA YA MIEZI MINNE
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) waliokuwa wakidai mishahara yao ya miezi mitano, jana walilipwa sehemu ya madai hayo.Wafanyakazi hao 1,500 waliokuwa wakiidai menejimenti...
View ArticleKAMPUNI YA TTCL SASA YATANGAZWA KUFILISIKA
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imetangazwa kufilisika, kutokana na kutokuwa na mtaji baada ya mwekezaji, Kampuni ya simu za mkononi ya Bharti Airtel, kushindwa kuwekeza kwa miaka 14.Kutokana na hatua...
View ArticleMAJAMBAZI WAUA POLISI WAWILI BAADA YA KUVAMIA KITUO
Askari wawili wa Jeshi la Polisi katika Kituo cha Ikwiriri wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameuawa baada ya kushambuliwa kwa silaha na majambazi, waliovamia kituo hicho na kuiba silaha baada ya...
View ArticleCHENGE, NGELEJA WAJIUZULU KUHUSU SAKATA LA ESCROW
Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge, waliopendekezwa kuwajibishwa na Bunge hilo katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow, wamejiuzulu nyadhifa zao.Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Spika Anne...
View ArticleKINANA AMPIGA 'STOP' MWIGULU NCHEMBA ZIARA ZA MIKOANI
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara), Mwigulu Nchemba amekubali kuitikia wito wa kusitisha ziara zake za kichama katika mikoa na wilaya mbalimbali nchini, kama alivyoagizwa na Katibu Mkuu wa chama...
View ArticleCHIKHAOUI NETS LATE WINNER AS TUNISIA BEAT ZAMBIA
Yassine Chikhaoui headed an 88th winner, as Tunisia came from behind to beat the 2011 champions Zambia 2-1 in the African Cup of Nations Group B encounter in Ebebiyin.Georges Leekens men were outplayed...
View ArticleMUHIMBILI KUWEKA HISTORIA YA TIBA YA MOYO AFRIKA MASHARIKI
Wakati ujenzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) na hospitali ya kutoa huduma na kufundishia kwa vitendo katika kijiji cha Mloganzila huko Kibamba ukiendelea, chuo hicho...
View ArticleKAMATI YA ZITTO 'YAMKABA KOO' MBUNGE WA KIBAHA
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeiagiza Bodi ya Korosho Tanzania, kuandika barua inayoeleza hatua walizochukua katika kurudisha nyumba iliyouzwa kwa Mbunge wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka...
View ArticleEMIRATES KUMWAGA AJIRA KWA WATANZANIA KUANZIA MACHI
Katika kutekeleza moja ya malengo ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa hususan kuwatafutia ajira Watanzania nje ya nchi, Wizara hiyo kupitia Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai,...
View ArticleWILL NIGERIA REMAIN AS ONE AFTER MOST DIVISIVE ELECTION IN FEBRUARY?
As Nigeria approaches its most divisive and closely fought election since the end of military rule in 1999, its leaders are having to reassure voters that Africa’s most populous nation will remain in...
View Article17 AFRICANS YOU DIDN’T KNOW WERE BILLIONAIRES
Forbes’ 2014 billionaires list has a record 1,645 people, including 29 Africans worth $1 billion or more — nine more than last year. Here are the richest known people — and in some cases, families — in...
View ArticleBOLASIE BELOW PAR AS DR CONGO DRAW WITH CAPE VERDE
The Crystal Palace winger, who scored in the opening game against Zambia, was below par as was the rest of his team who remain without a win after two group games.And the Leopards had goalkeeper Robert...
View ArticleWHO IS SPONSORING BOKO HARAM IN NIGERIA?
When the Boko Haram insurgency broke out in northern Nigeria, specifically Borno state, it was targeting police stations and other places of work and abode of law enforcement officers following the...
View ArticleWHY INVESTING IN EAST AFRICA OIL MAKES SENSE RIGHT NOW
As a frontier market, the countries of Africa represent both tremendous opportunities and tremendous risks. On the risk side of the ledger are all the usual complications of international trade and...
View ArticleFORMER ZIMBABWEAN GANGSTER RENOUNCES ‘FAMILY BUSINESS’
Takawira Masendeke, 25, is known in Zimbabwe as a gangster and drug addict from a gangster family, but he’s getting out of the “family business,” he told RNWAfrica, according to a report in...
View Article16 MOST POWERFUL MILITARIES IN AFRICA
When it comes to the military strength of all African countries, the keywords to consider are “not enough information.”The Global Fire Power ranking, or GFP, measures countries’ military strength and...
View Article17 DISEASES YOU DIDN’T KNOW ARE TREATED WITH MARIJUANA
Medical marijuana is proving effective for at least managing horrific diseases such cancer, epilepsy, multiple sclerosis and Alzheimer’s. Twenty U.S. states and the District of Columbia have legalized...
View ArticleJICHO LA TATU
JICHO LA TATU: Huu ni mtazamo wa msanii wetu, Said Michael kuhusu masuala mbalimbali na mwenendo wa mambo hapa nchini ambao anautafsiri kwa njia ya michoro.
View ArticleMWANAFUNZI AJIFUNGUA NDANI YA DALADALA
Mwanafunzi mmoja wa Shule ya Sekondari ya Keko amejifungua mtoto akiwa ndani ya daladala maeneo ya Mtoni Kwa Azizi Ally, jijini Dar es Salaam mapema leo.Mwanafunzi huyo ambaye hakuweza kupatikana jina...
View ArticlePOLISI YAZIMA JARIBIO LA UJAMBAZI DARAJANI ZANZIBAR
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi limezima jaribio la ujambazi katika mtaa wa Darajani ambapo imewashika majambazi wawili huku mmoja akifanikiwa kutoroka.Kamanda wa Polisi mkoa huo, Mkadam Khamis...
View Article