BANDARI KUFURU TUPU!! WALIPANA POSHO LAKI 5 KWA SIKU TANGU 2011
Wakati Msajili wa Hazina amebariki posho mpya za safari za ndani kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) kuwa Sh 500,000 kwa siku kuanzia Januari 2, mwaka huu, imebainika kuwa walishaanza...
View Article12 MEMORABLE MOMENTS FROM PAST AFCON FINALS
The Africa Cup of Nations is upon us and before the action kicks off this weekend, AFKSports provides you with 12 of the most memorable moments from recent AFCONs! - See more at:...
View ArticleMKE NA MUME MBARONI KWA MAUAJI YA MGANGA WA JADI
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za mauaji katika matukio mawili tofauti wakiwemo mume na mke waliomuua mganga wa jadi.Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda...
View ArticleWIMBI LA ESCROW LASOMBA VIGOGO WENGINE WATATU
Vigogo wengine watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kupokea rushwa ya zaidi ya Sh bilioni 2.4 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye...
View ArticleWENYE SHAHADA YA CPA SASA WAFIKIA 6,002
Jumla ya watahiniwa 356 wamefaulu mtihani wa shahada ya juu ya uhasibu nchini (CPA) na kufanya watahiniwa waliofaulu mitihani hiyo kufikia 6,002 tangu mitihani hiyo ilipoanza mwaka 1975.Matokeo hayo...
View ArticleWAISLAMU, WAKRISTO WAKUBALIANA KUTOKASHIFIANA KWENYE MIHADHARA
Viongozi wa dini za Kiislamu na Kikristo nchini wamekubaliana kutoandaa mihadhara inayokashifu dini moja na nyingine, miongoni mwa madhehebu ya dini moja au kashfa baina ya waumini na waumini.Lengo la...
View ArticleHIVI NDIVYO WATANO WALIVYOJERUHIWA KWA BOMU TANGA
Wakazi watano wa kitongoji cha Mafuriko Amboni kilichopo jijini Tanga wamejeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili baada ya kurushiwa bomu la kutupwa kwa mkono na mtu asiyejulikana wakati walipokuwa...
View ArticleWANAFUNZI 29,000 KURUDIA KIDATO CHA PILI
Wanafunzi 29,770 waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2014, wamepata alama ambazo haziwawezeshi kuendelea na kidato cha tatu hivyo watalazimika kurudia kidato hicho cha pili.Sambamba na hilo,...
View ArticleFIVE DRUG SMUGGLERS EXECUTED BY FIRING SQUAD IN INDONESIA
Indonesian firing squads executed five foreign drug smugglers after the country's government brushed aside last-minute diplomatic efforts to secure them clemency.Four men from Brazil, Malawi, the...
View Article10 THINGS YOU DIDN'T KNOW ABOUT WINNIE MANDELA
Winnie Mandela is a rousing and controversial South African figure for her fierce battle against apartheid — at the cost of others’ lives, some say — and for her alleged fraudulent deeds. The second...
View ArticleHOW ARSENAL FINALLY PUT DEFENCE FIRST TO BEAT MANCHESTER CITY
MOTD2 pundit Trevor Sinclair expands on his TV analysis of what was different about Arsenal as they beat defending champions Manchester City 2-0 on Sunday to end their run of poor results away from...
View ArticleMKAZI WA DAR APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA UGAIDI
Mkazi wa Kitunda, Jihad Swalehe amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi na kuomba msaada wa vifaa, fedha na ujuzi wa kulipua mabomu kwa lengo...
View ArticlePOLISI YASEMA MADAI YA UTEKAJI MABASI ARUSHA YAMEJAA UTATA
Polisi Mkoa wa Arusha limeahidi kufanya doria katika barabara ya Arusha – Namanga ikiwa ni njia mojawapo ya kudhibiti vitendo vya kihalifu vinavyofanywa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.Juzi,...
View ArticleBALAA!! MISAMAHA YA KODI YAPAA KWA SHILINGI BILIONI 340
Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Serikali kufanya kila linalowezekana inapunguza misamaha ya kodi ambayo katika mwaka wa fedha 2013/14 ilipaa kwa Sh bilioni 340 kutoka Sh trilioni 1.48 hadi...
View Article10 AFRICAN SNAKES TO RESPECT AND FEAR
Step in line, humans! You’re the superior animal on the planet, sure, maybe, but do you have two-inch fangs loaded with the milk of death? Can you choke a cow with your body? If someone is kicking you,...
View ArticleGOALLESS DRAW LEAVES EQUATORIAL GUINEA AND BURKINA FASO WITH ALL TO DO
Equatorial Guinea and Burkina Faso both lacked a cutting edge in front of goal as they played out a scrappy draw.Alain Traore hit the woodwork - twice in the first half - and that was the closest...
View ArticlePRINCE POUNCES TO SEND CONGO PAST GABON AND TOP OF GROUP A
Prince Oniangue was the hero for Congo as the Red Devils shocked Gabon in Bata to leapfrog their opponents and go top of Group A.Congo captain Oniangue pounced less than three minutes into the second...
View Article17 RULES OF AIRPLANE ETIQUETTE THAT SHOULD BE ENFORCED WAY MORE
If everybody had some common decency and some common sense, then flying could be a much more enjoyable, civil experience. But, as many frequent flyer knows, you come across some travelers whose minds...
View Article15 TIMES PEOPLE DIED ON AIRPLANES
Car crashes are much more common than airplane crashes, but ask anyone what scares them more and they’ll say airplane crashes. We feel completely helpless in planes and so isolated, which could be why,...
View ArticleWAKILI MWALE NA WENZAKE WASOMEWA MASHITAKA MAPYA 42
Mwanasheria na wakili maarufu wa kujitegemea wa jijini hapa, Medium Mwale anayemiliki kampuni ya uwakili ya JJ Mwale Advocates na wenzake watatu jana walisomewa mashitaka mapya 42 ya utakatishaji...
View Article