$ 0 0 Mchezaji wa Brazil, David Luiz akimfariji mwenzake, Oscar mara baada ya kumalizika kwa mechi yao ya kusaka mshindi wa tatu dhidi ya Uholanzi kwenye Uwanja wa Estadio Nacional mjini Brasilia ambapo timu yao ilipokea kipigo cha mabao 3-0.