TACAIDS WAFAFANUA DAWA YA KUFUBAZA VIRUSI VYA UKIMWI
Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imethibitisha kwamba dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARVs) zinapatikana na zenye ubora zaidi tofauti na taarifa za baadhi ya vyombo vya...
View ArticleBENKI YA DUNIA YASAIDIA ELIMU KUPITIA BRN
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia (WB) imeidhinisha Dola za Kimarekani milioni 112 kwa ajili ya kuisaidia Tanzania kuimarisha sekta ya elimu kupitia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).Kwa mujibu...
View ArticleUZINDUZI UJENZI WA RELI YA KATI KUFANYIKA DESEMBA
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali ina mpango wa kujenga reli mpya ya kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kupitia mikoa ya kati na kuelekea Isaka hadi Burundi ambayo ujenzi wake utazinduliwa rasmi...
View ArticleMAGUFULI AAMURU KITUO CHA MABASI DODOMA KUHAMISHIWA NJE YA MJI
Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli ameagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kuhamishia kituo kikuu cha mabasi cha Dodoma nje ya mji, ili...
View ArticleWAKILI WA SERIKALI BADO AENDELEA KUSOTA RUMANDE
Wakili wa Serikali, Yasinter Rwechungula (44) Mkazi wa Boko njia panda, anayekabiliwa na kesi ya kupiga na kujeruhi mwili ameendelea kusota rumande kutokana na kutotimiza masharti ya dhamana.Hakimu...
View ArticleMOTO WATEKETEZA VIBANDA 63 VYA BIASHARA
Vibanda 63 vya wafanyabiashara ndogo nyuma ya stendi ya Jamatini Manispaa ya Dodoma vimeteketea kwa moto na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali.Chanzo cha moto huo uliozuka usiku wa kuamkia jana,...
View ArticleBUNDUKI YA ASKARI WA FFU YATUMIKA KWENYE UJAMBAZI
Tukio la ujambazi ambalo liliua watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi, limechukua sura mpya baada ya silaha waliyokuwa wakitumia majambazi hao kugundulika kuwa ilikuwa ikimilikiwa na askari wa...
View ArticleHALMASHAURI ZAAGIZWA KUWAPA NHC VIWANJA BURE
Rais Jakaya Kikwete ameziagiza halmashauri zote nchini kutenga maeneo ya ardhi kwa ajili ya kulipatia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) bila gharama ili liweze kutekeleza mradi wake wa ujenzi wa nyumba...
View ArticleIGP AAHIDI KUWAKAMATA WALIPUAJI MABOMU ARUSHA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu amesema jeshi hilo lina uhakika wa kuwapata watuhumiwa wa mabomu mkoani Arusha na kwingineko nchini, pamoja na kudhibiti matukio hayo baada ya...
View ArticleAINA MPYA YA MAUAJI YA WASICHANA YAIBUKA LINDI
Wasichana saba wamepoteza maisha wilayani Nachingwea mkoani Lindi baada ya kubakwa na kunyongwa kisha kuwekewa vijiti na chupa kwenye sehemu zao za siri.Wasichana hao wamepoteza maisha kwa nyakati...
View ArticleBINTI WA MIAKA 10 ABAKWA NA WANAUME KWA ZAMU
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawatafuta wakazi wawili wa kijiji cha Silo kata ya Linda wilaya ya Nyasa kwa tuhuma za kumbaka msichana wa miaka 10 , mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya...
View ArticleWHERE THE WORLD CUP FINAL WILL BE WON AND LOST
As one of the finest World Cups in football history draws to a close we take a look at four key battles that are sure to shape the showpiece final at the Maracana stadium.Sami Khedira v Lionel...
View ArticleGERMANY - ARGENTINA MATCHPACK: THE FINAL COUNTDOWN
It might not be the way Brazilians wanted the World Cup to end but Sunday's final between Argentina and Germany will provide a nerve-jangling climax to the best tournament in history - even though the...
View ArticleArticle 21
Wachezaji wa Uholanzi, Dirk Kuyt (kushoto) na Arjen Robben akifurahia jambo baada ya kuvishwa medali kufuatia ushindi wa mabao 3-1 walioupata dhidi ya Brazil na hivyo kushika nafasi ya tatu katika...
View ArticleArticle 20
Mchezaji wa Brazil, David Luiz akimfariji mwenzake, Oscar mara baada ya kumalizika kwa mechi yao ya kusaka mshindi wa tatu dhidi ya Uholanzi kwenye Uwanja wa Estadio Nacional mjini Brasilia ambapo timu...
View ArticleArticle 19
Nahodha wa Uholanzi, Robin van Persie akikumbatiana na kipa wake, Michel Vorm wakati wakitoka uwanjani baada ya kufanikiwa kuivurumusha Brazil mabao 3-0 na kushika nafasi ya tatu katika fainali za...
View Article