Ajali ya kichwa cha treni kilichotumbukia mtoni na kusababisha watu wawili kupoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa huku wengine hawajulikani walipo.
Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime alisema ajali hiyo ilitokea baada ya treni ya mizigo iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kwenda Kigoma kupata ajali na kusombwa na mkondo wa maji katika eneo la Gulwe Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma. Tukio hili lilitokea juzi saa 8:00 usiku.