Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4617 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFCON: DR CONGO CLAIM THIRD PLACE AFTER PENALTY SHOOT-OUT VICTORY OVER...

Democratic Republic of Congo were awarded third place at the African Cup of Nations after a penalty shoot-out victory over Equatorial Guinea following a goalless draw at the Estadio de Malabo.Cedric...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALBINO VIJIJINI HATARINI KUPATA SARATANI YA NGOZI

Watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) wanaoishi vijijini, wana hatari ya kupata magonjwa ya saratani ya ngozi, kutokana na kutokuwa na elimu ya afya bora na utunzaji wa ngozi.Kauli hiyo ilitolewa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUANZA KAZI JULAI

Serikali imesema Tume ya Utumishi wa Walimu itaanza kazi Julai  mwaka huu na kuhudumia walimu katika masuala mbalimbali huku muundo wa utumishi wa tume hiyo umehusisha ngazi za chini na juu. Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIKOA SITA TAABANI KATIKA UJENZI WA MAABARA

Mikoa sita 'imevurunda' katika ujenzi wa maabara katika shule za sekondari baada ya kushindwa kufikia malengo. Ni mikoa mitatu pekee ndiyo imefanya vizuri kwa kuvuka nusu ya malengo.    Waziri Mkuu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEREVA BODABODA ATUHUMIWA KULAWITI CHEKECHEA KIBAHA

Dereva bodaboda Ismail Lucas (16), mkazi wa Kwa Mathias wilayani Kibaha mkoani Pwani, anatuhumiwa kumlawiti mtoto  ambaye ni mwanafunzi wa Chekechea.Mama wa mtoto huyo (jina limehifadhiwa) alisema kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJIFUNGUA KWA VIBATARI MIAKA MITANO MASASI

Wajawazito wakazi wa kata za Sululu na  Matawale katika Halmashauri ya  Mji wa Masasi mkoani Mtwara, wamekuwa wanajifungua kwa kutumia vibatari  muda wa usiku zaidi ya miaka mitano sasa.Diwani wa  Kata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUSWADA MAHAKAMA YA KADHI KUJADILIWA BUNGE LIJALO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameeleza sababu za Bunge kushindwa kujadili miswada kadhaa, ikiwemo uliohusu Marekebisho ya Sheria ya Kiislamu, inayotambua Mahakama ya Kadhi. Akihitimisha shughuli za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WATEKETEZA BABU, BIBI, WATOTO NA WAJUKUU DAR

Watu sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto  jijini Dar es Salaam.Janga hilo la moto limetokea jana saa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya Jumapili ya leo, Februari 8, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YOUNG CONGOLESE ENTREPRENEUR LESSONS FROM RUNNING A FOOD BUSINESS

“They say that if the DRC was developed, many African countries will follow, because the food potential we have here can feed the world.” This is according to Benedict Mundele, a 21-year-old Congolese...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE 17 WORST FOODS FOR SLEEP

If you live your life at full-speed from the moment your feet hit the ground in the morning, until the moment you turn off your nightlight, but you still feel restless, you might be eating the wrong...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

10 TRICKS TO HELP STOP SNORING

Snoring is a serious pain for everyone involved – you, your partner, and really anybody that has the misfortune to be in a 3-room radius from where you’re running a chainsaw in your sleep. Though some...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

17 CRIMES WE ALL COMMIT EVERYDAY

Sure, we all like to think that we’re law-abiding citizens. And when it comes to murder and anarchistic government overthrows, we usually manage to resist. But it’s the little things that we can’t seem...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAISAMBARATISHA MTIBWA SUGAR 2-0 NA KUKAA KILELENI

Timu ya soka ya Yanga imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuifumua Mtibwa Sugar mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii.Katika mchezo huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMATRA YAWAPIGA DARASA WAMILIKI WA MABASI YA MASAFA MAREFU

Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imewanoa wamiliki wa mabasi ya masafa marefu  kuhusu usimamizi na udhibiti wa sekta ya usafiri wa barabara ili wazaidie  kupunguza na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAAFRIKA WAADHIMISHA MWAKA MPYA WA KICHINA

Waafrika wanaoishi na kusoma jijini hapa, wameshiriki na wenyeji katika sherehe za mwaka mpya wa China (Spring Festival) unaoadhimishwa kwa wiki moja kuanzia Februari 19 mwaka huu.Walisherehekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA MPYA YA VIBALI VYA AJIRA YAJA

Wizara ya Kazi na Ajira iko  katika mchakato wa kuandaa Sheria mpya ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni ili kudhibiti kuajiriwa kwa wageni ili kufanya kazi ambazo Watanzania wenyewe wanaweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI WAWAPATIA VIJANA USHINDI WA KISHINDO URAIS 2015

Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (TEDRO), limesema katika utafiti walioufanya kuhusu ushiriki wa vijana katika siasa na matarajio kuelekea uchaguzi mkuu 2015, umeonesha kwamba endapo mgombea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARE EGYPTIANS PAYING THE PRICE OF PROTEST?

“They call him ‘Youssef the terrorist’,” says Om Youssef, “So when I visit him in the police station, I tell them I’m the mother of the terrorist, what else can I say?”Youssef is 15 years old. He was...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

12 SIMPLE WAYS TO BE MORE ATTRACTIVE

We want one thing common: being more attractive. But the purpose for being attractive varies. What’s yours? Well, you needn’t share! To strike your attractive physique, maintain these tips and you will...

View Article
Browsing all 4617 articles
Browse latest View live