Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

10 CELEBRITIES WHO ARE RAPE SURVIVORS

1. Scott WeilandThe front man for the grunge group Stone Temple Pilots revealed in his memoir that when he was 12 years old, he was raped by a senior at his high school. According to an interview on...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDAMANO YA CUF YAPIGWA ‘STOP’

Chama cha Wananchi -CUF kimeamua kuahirisha maandamano yake, yaliyopangwa kufanyika jana, ikiwa ni ishara ya kuadhimisha miaka 14 ya vifo vya wafuasi wake waliopoteza maisha Januari 27, mwaka 2001....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA WA MAPACHA SITA AKABIDHIWA NYUMBA

Mkazi wa Mabwepande, Salome Muhando ambaye alitelekezwa na mumewe, baada ya kujifungua watoto sita mapacha mfululizo, hatimaye amenunuliwa na kukabidhiwa nyumba na Benki ya Covenant ambayo ataishi yeye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANNE FAMILIA MOJA WAFA KWA CHAKULA CHENYE SUMU

Watu wanne wa familia moja wakazi wa kijiji cha Kibambila wilayani Kakonko mkoa wa Kigoma wamekufa na mtu mmoja amenusurika kifo kutokana na kula chakula kinachosadikiwa kuwa na sumu.Akithibitisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUKWAA LA KATIBA LATAKA WAGOMBEA KUPIMA AFYA

Jukwaa la Katiba nchini (JUKATA) limesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa taifa, ipo haja ya wagombea  wa nafasi mbalimbali za uongozi kupimwa afya zao na kutangazwa kwa wananchi ili kuepuka kuwaweka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAZIPIGA ‘STOP’ SHULE BINAFSI

Waziri  wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amesema Serikali itazinyang'anya leseni ya uendeshaji shule binafsi, ambazo zimeweka viwango vyake vya ufaulu kwa wanafunzi wanaosoma kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AUAWA NA KUTELEKEZWA KARIBU NA KAMBI YA FFU

Kijana ambaye hakufahamika jina anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa katika eneo la kambi ya Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHENGE, TIBAIJUKA KUBURUZWA BARAZA LA MAADILI

Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma litawaweka kiti moto watuhumiwa  9 ambao ni viongozi wanaohusishwa na kashfa ya akaunti ya uchotaji wa fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.Viongozi hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIAKOO WAFUNGA MADUKA, WAANDAMANA KUMSAKA BOSI WAO

Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameandamana hadi kituo cha Polisi cha Kati, wakidai wapewe taarifa wapi alipopelekwa Mwenyekiti Taifa wa Jumuiya ya Wafanyabiashara,  Johnson...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

10 CELEBRITIES WHO HAD AN ABORTION AND WENT PUBLIC ABOUT IT

The debate continues over life versus choice. Everybody has an opinion. Whatever your stance on abortion may be, you have to hand it to any celebrity brave enough to talk publicly about having one....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CELEBRITIES WHO’VE BEEN FALSELY REPORTED DEAD

Seemingly inconsequential information can go viral over the Internet within hours, but if you’re a celebrity, any news — true or not — goes viral within minutes. The power of the Internet, plus a few...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFCON: GHANA ADVANCE AFTER LATE DRAMA

Ghanaadvanced to the quarter-finals of the Africa Cup of Nations with a dramatic 2-1 victory over South Africa to qualify alongside Algeria.South Africa went ahead courtesy of a goal of the tournament...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFCON: ALGERIA BEAT SENEGAL TO PROGRESS TO LAST EIGHT

Algeria are through to the last eight of the African Cup of Nations as Group C runners-up, after a convincing 2-0 victory over Senegal in their final group match in Malabo.The Lions of Teranga came...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IMF WANTS TANZANIA TO PAY DOWN SUPPLIER DEBT

The International Monetary Fund (IMF) last week advised the Tanzania government not to allow suppliers’ arrears to get out of control, but was favourable of the country’s economic prospects in...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

10 FAMOUS PEOPLE WHO’VE EXPERIENCED MORE TRAGEDY THAN YOU KNOW

Money can’t buy happiness. These famous people who’ve experienced more tragedy than you know can attest to that. Even their success and fortune couldn’t ease the pain of the trauma they’ve gone...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CELEBRITIES WHO HAVE LOST A CHILD

The tragedy of losing a child is an almost unbearable prospect, but thousands of parents have to endure it every year. Celebrities are no exception, except many have had to go through the grieving...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

10 TIMES SOCIAL MEDIA CONTRIBUTED TO DEATH

Social media are very powerful tools. Wouldn’t it be great if we could control whose hands those tools fell into to prevent harm? Unfortunately we can’t. Even though sometimes social media spread...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBEYA CITY YAITULIZA SIMBA 2-1 UWANJA WA TAIFA

Timu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam imejikuta ikiangukia pua baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Mbeya City katika pambano la Ligi Kuu ya Vodacom lililomalizika muda mfupi uliopita kwenye Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRISTIANO RONALDO GETS TWO-GAME BAN, AVAILABLE FOR MADRID DERBY

Cristiano Ronaldo has been banned for two matches following his red card for Real Madrid against Cordoba, and will be available for the derby against Atletico Madrid next month.The Ballon d'Or winner...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VURUGU ZAAHIRISHA BUNGE, PROF LIPUMBA APANDISHWA KIZIMBANI

Kikao cha Bunge la Tanzania leo kimevurugika kutokana na vurugu za baadhi ya wabunge waliokuwa wakibishana kuhusu suala la kiongozi wa chama cha upinzani cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kushambuliwa...

View Article
Browsing all 4500 articles
Browse latest View live