$ 0 0 Jamaa wawili walikuwa safarini. Wakiwa njiani maeneo ya hifadhi ya Mikumi mmoja akamwambia mwenzake: "Unawaona wale Simba?" Mwingine akajibu: "Alaa! Kumbe wale ndio Simba? Sasa pale Kaseja ndio yupi?" Kasheshe...